JESHI LA POLISI LAZUIA ZAIDI YA MABASI 50 KUSABIRISHA ABIRIA
Jeshi la Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani limezuia zaidi ya mabasi
50 kusafirisha abiria kwenda Mikoani kutokana na makosa mbalimbali
huku mengine yaking'olewa namba kabisa kutokana na kuwa na hitilafu
nyingi na hivyo kutakiwa kurudishwa gereji kwanza kwa ajili ya
kufanyiwa matengenezo makubwa.
No comments:
Post a Comment