Friday, 27 January 2017

TRAFFIC YASHINDA TUZO YA UBUNIFU KATIKA UTOAJI HUDUMA KWA MWAKA 2016

Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani yashinda tuzo ya ubunifu katika Utoaji Huduma kwa Mwaka 2016.

Tuzo hiyo imetolewa na Tanzania Leadership Awards kwenye category ya 'Most Innovative Service of the year' katika hafla ya Utoaji wa tuzo hizo iliyofanyika tarehe 27.01.2017 katika hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam.


Tuzo ambayo Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani imeshinda  kwa ubunifu wa utoaji huduma kwa mwaka 2016.

Thursday, 26 January 2017

WAZAZI WAASWA KUFUATILIA VYOMBO/MABASI YANAYOTUMIWA KUBEBA WANAFUNZI JIJINI DAR ES SALAAM

Watoto wadogo ambao wengi wao ni chini ya Miaka nane baada ya Kushushwa kwenye gari aina ya Noah iliyokuwa ikitumika kama School Bus