Friday, 27 January 2017

TRAFFIC YASHINDA TUZO YA UBUNIFU KATIKA UTOAJI HUDUMA KWA MWAKA 2016

Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani yashinda tuzo ya ubunifu katika Utoaji Huduma kwa Mwaka 2016.

Tuzo hiyo imetolewa na Tanzania Leadership Awards kwenye category ya 'Most Innovative Service of the year' katika hafla ya Utoaji wa tuzo hizo iliyofanyika tarehe 27.01.2017 katika hoteli ya Serena Jijini Dar Es Salaam.


Tuzo ambayo Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani imeshinda  kwa ubunifu wa utoaji huduma kwa mwaka 2016.

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, DCP Mohammed R. Mpinga, akipokea tuzo hiyo kutoka kwa waandaaji wa tuzo.
Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, DCP Mohammed R. Mpinga akiwa ameshikilia tuzo iliyoshinda Jeshi la Polisi Kikosi Cha Usalama Barabarani kwa Ubunifu katika Utoaji Huduma zake kwa mwaka 2016.

Kipengele ambacho Kilikuwa kikishindaniwa na Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani katika tuzo zaTanzania Leadership Awards 2016

No comments:

Post a Comment