Thursday, 26 January 2017

WAZAZI WAASWA KUFUATILIA VYOMBO/MABASI YANAYOTUMIWA KUBEBA WANAFUNZI JIJINI DAR ES SALAAM

Watoto wadogo ambao wengi wao ni chini ya Miaka nane baada ya Kushushwa kwenye gari aina ya Noah iliyokuwa ikitumika kama School Bus


Watoto wakiwa wamepumzika wakati wakisubiri usafiri mbadala baada ya Kushushwa kwenye gari aina ya Noah iliyokuwa ikitumika kama School Bus

Gari aina ya Noah yenye namba za usajili T.949 DDY iliyotumika kubebea wanafunzi 34 kutoka shule zilizopo katikati ya jiji.


Wanafunzi wakiwa wamejazwa kwenye gari aina ya Noah kiasi cha kuhatarisha Maisha yao

Kamanda wa Polisi Kikosi Cha Usalama Barabarani Kanda Maalum ya Dar Es Salaam, ACP AWADH HAJI, akiongelea juu ya Upakiaji wa wanafunzi kwa njia ya hatari kwa kujaza kuliko uwezo wa gari na kuwaasa wazazi kufuatilia aina ya Usafiri unaotumika kuwapeleka mashuleni na kuwarudisha majumbani wanafunzi.


No comments:

Post a Comment