Thursday, 20 October 2016

KAMANDA WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI DCP. MOHAMMED MPINGA AKIFAFANUA MASUALA MBALIMBALI YA USALAMA BARABARANI KATIKA KIPINDI CHA DAKIKA 45 CHA ITV

Kamanda wa kikosi cha  Usalama Barabarani DCP. MOHAMMED MPINGA akielezea nini kilifanyika
katika wiki ya nenda kwa Usalama Barabarani iliyofanyika kitaifa mkoani Geita, Mafanikio  na changamoto za utendaji wa kikosi cha Usalama Barabarani na mikakati ya kupambana na ajali za barabarani nchini...karibu msikilize.

No comments:

Post a Comment