Mkuu
wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, ambaye pia ni Katibu wa Baraza la
Taifa la Usalama Barabarani, Naibu Kamishna, Mohamed Mpinga
akizungumza katika
maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani inayofanyika Kitaifa katika
Viwabya vya CCM Kalangalala mjini Geita. Maadhimisho hayo yalizinduliwa na
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la
Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni (kulia).
No comments:
Post a Comment